You Are Here: Home » Resources » Mwongozo wa Uhakiki wa Ubora wa Mazao ya Nyuki Tanzania

Mwongozo wa Uhakiki wa Ubora wa Mazao ya Nyuki Tanzania

Tanzania ina mazingira mazuri ya kuzalisha mazao ya nyuki yenye kiwango cha juu cha ubora kutokana na kuwepo kwa aina nyingi za spishi za mimea inayozalisha chakula cha nyuki (mbochi na chavua). Mazao ya nyuki makuu nchini Tanzania ni asali na nta. Kutokana na sababu hizo, mazao haya yanaweza kupata soko lenye bei ya juu kama ubora wake utadumishwa

Mwongozo_wa_uhakiki_wa_ubora_wa_mazao_ya_nyuki

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top