SERENGETI YASHINDA TUZO YA KUWA HIFADHI BORA ZAIDI  BARANI AFRIKA 2021

SERENGETI YASHINDA TUZO YA KUWA HIFADHI BORA ZAIDI BARANI AFRIKA 2021

Hifadhi ya Taifa Serengeti imeshinda Tuzo ya kuwa Hifadhi bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2021. Tuzo hiyo imetangazwa na Taasisi ya World Travel Awards ya nchini Marekani kwa njia…

Ziara ya Kamati ya Mawaziri 8 wa Kisekta kutatua migogoro ya ardhi nchini

Ziara ya Kamati ya Mawaziri 8 wa Kisekta kutatua migogoro ya ardhi nchini

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (katikati) akifuatilia mkutano wa hadhara wa wananchi wa Kata ya Bereko katika ziara ya Kamati ya Mawaziri wa Kisekta Wilayani…

Ziara ya Kamati ya Mawaziri 8 wa Kisekta kutatua migogoro ya ardhi nchini

Ziara ya Kamati ya Mawaziri 8 wa Kisekta kutatua migogoro ya ardhi nchini

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wananchi wa Kata ya Bereko kuhusu kutunza maliasili katika mkutano wa hadhara wa Kamati ya Mawaziri 8 wa Kisekta,…

WIZARA YATOA TAARIFA KWA UMMA ITAKAVYOTUMIA BILIONI 90.2 ZA MAENDELEO KUKABILIANA NA UVIKO -19

WIZARA YATOA TAARIFA KWA UMMA ITAKAVYOTUMIA BILIONI 90.2 ZA MAENDELEO KUKABILIANA NA UVIKO -19

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itazitumia Shilingi bilioni 90.2 za mgao wa mkopo wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) katika maeneo makuu matano ambayo yameathirika zaidi kutokana…

ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA AFRIKA MASHARIKI KUFUNGUA FURSA ZA UTALII

ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA AFRIKA MASHARIKI KUFUNGUA FURSA ZA UTALII

Onesho hili ambalo litafanyika kwa mzunguko kila mwaka kwa nchi wanachama wa EAC litaenndelea kuwa kiungo muhimu katika kuziunganisha nchi zetu kiuchumi - Dkt. Hussein Mwinyi, Rais…

RAIS, DKT. MWINYI AHITIMISHA ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA AFRIKA MASHARIKI - ARUSHA.

RAIS, DKT. MWINYI AHITIMISHA ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA AFRIKA MASHARIKI - ARUSHA.

Tunahitimisha Onesho hili kwa matumaini makubwa kwamba sekta yetu ya utalii itaendelea kufanya vizuri na kushuhudia wingi wa watalii wakitembelea nchi zetu.

TUMEFANYA KAZI PAMOJA ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA EAC

TUMEFANYA KAZI PAMOJA ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA EAC

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro akiwashukuru viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania Bara na Wizara ya Maliasili na Mambo ya Kale wa Zanzibar kwa kufanikisha…

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top