Waziri Dkt.Ndumbaro ameitaka TFS kuanzisha mashamba mengine ya miti katika mikoa ya Lindi , Mtwara na Songea
Waziri Dkt.Ndumbaro ameipongeza TFS kwa kazi inayofanya ya kupanda miti katika mashamba mapya kuwa juhudi hizo ni nzuri sana
Waziri Dkt.Ndumbaro akiwa kwenye picha ya pamoja na Jeshi la Uhifadhi mara baada ya kuzindua shamba hilo
Waziri Dkt.Ndumbaro akipata maelezo kabla ya kuzindua shamba hilo kutoka kwa Kamishna Uhifadhi wa TFS, Prof.Silayo
Dkt.Ndumbaro akisalimiana na Watumishi wa Jeshi la Uhifadhi nchini kabla ya kuanza doria kwa kutumia ndege katika maeneo ya Hifadhi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akiteremka kwenye ndege leo mara baada ya kuongoza kufanyika kwa doria katika Hifadhi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro leo, Jumamosi tarehe 26 Disemba, 2020 amekutana na kufanya kikao na Balozi Ali Mchumo ambaye ni Mkurugenzi wa INBAR kuhusiana na…
© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania