You Are Here: Home » Whats New

Whats New

15
Sep
2022

MAKAMU WA RAIS WA UGANDA MHE JESSICA ALUPO ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Makamu wa Rais wa Uganda Mhe. Jessica Alupo ametembelea Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea na Urithi adhimu na adimu wa Historia ya Tanzania uliohifadhiwa katika Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni. Read More

15
Sep
2022

MRADI WA MAJI BUTIMBA , CHACHU KATIKA KUENDELEZA UHIFADHI

Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba chenye thamani a shilingi bilioni 69.3 ni chachu ya kuendeleza shughuli za uhifadhi zitakazosaidia kuongeza idadi ya watalii nchini.
Read More

13
Sep
2022

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU USWISI

Tanzania inashiriki Mkutano wa 51 wa Baraza la Haki za Binadamu unaoendelea katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi. Read More

12
Sep
2022

SERIKALI KUTATHMINI UPYA MIPAKA YA MAPORI YA AKIBA ILI KUTATUA CHANGAMOTO YA MWINGILIANO WA MIPAKA

Serikali imejipanga kutathmini upya Mapori ya Akiba yaliyopandishwa hadhi ya Luganzo-Tongwe, Igombe, Wembere, Inyonga na Ugalla ili kutatua changamoto ya muingiliano wa mipaka yenye hadhi tofauti na kupelekea baadhi ya maeneo ya Mamlaka za Serikali za Mitaa vikiwemo Vijiji na maeneo… Read More

11
Sep
2022

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUJENGA MAKUMBUSHO YA MARAIS JIJINI DODOMA

Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza maandalizi ya ujenzi wa Makumbusho kubwa ya Marais wa Tanzania Jijini Dodoma kwa lengo la kuhifadhi Urithi wa mchango mkubwa walioutoa na unaoendelea kutolewa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi… Read More

11
Sep
2022

TAARIFA KWA UMMA - KUHUSU MATAMASHA YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI

Wizara ya Maliasili na Utalii imepewa dhamana ya kusimamia uhifadhi wa maliasili, malikale na maendeleo ya utalii hapa nchini. Wizara inatekeleza majukumu haya kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni, mipango ya maendeleo na maelekezo mbalimbali ya Serikali.
Read More

TAARIFA_KWA_UMMA_-_MATAMASHA
08
Sep
2022

TANZANIA KUTUMIA FURSA YA KOMBE LA DUNIA 2022 KUTANGAZA UTALII

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka amefanya ziara ya kikazi nchini Qatar kwa lengo la kuweka mikakati ya kutumia fursa ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 kutangaza utalii wa Tanzania. Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top