You Are Here: Home » Whats New

Whats New

13
Oct
2022

“TATHMINI YA MIPAKA YA MAPORI YA AKIBA YALIYOPANDISHWA HADHI MKOANI KATAVI HAITAINGILIA MAAMUZI YA B

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa tathmini ya mipaka mipya ya Mapori ya Akiba yaliyopandishwa hadhi na kuonekana kuwa na changamoto ya muingiliano wa mipaka, haitagusa maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusu mipaka ya vijiji.
Read More

12
Oct
2022

NAIBU WAZIRI MASANJA AWATAKA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA IPASAVYO MAENEO YA HIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia vyema maeneo ya hifadhi ili kuepusha migogoro baina ya shughuli za kibinadamu na hifadhi.
Read More

10
Oct
2022

BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA MISITU TANZANIA YAZINDULIWA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Balozi Dkt. Pindi ametoa rai kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) washirikiane na wasimamie ipasavyo matumizi ya fedha za Mfuko ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Read More

08
Oct
2022

WAZIRI BALOZI DKT. CHANA APONGEZA UBUNIFU WA MAZAO MAPYA YA UTALII.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameupongeza uongozi wa Wonderland Afrika na View Point Adventures Safaris LTD kwa ushirikiano waliouonesha wa kubuni Tamasha la Kiutamaduni la Kimasai linaloitwa Masai Festival kama zao jipya la Utalii wa Kiutamaduni.
Read More

06
Oct
2022

SEKTA YA UTALII NCHINI TANZANIA INAENDELEA KUIMARIKA.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana amewaeleza washiriki wa Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani UNWTO, Kanda ya Afrika kuwa Sekta ya Utalii nchini Tanzania inaendelea kuimarika licha ya kupata athari za janga la UVIKO - 19.
Read More

05
Oct
2022

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AHAMASISHA UTALII NA UWEKEZAJI MKUTANO WA UNWTO - ARUSHA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje nchi waje kuwekeza katika maeneo yaliyohifadhiwa kutokana na Tanzania kuwa na utajiri mkubwa wa maliasili na vivutio bora duniani. Read More

05
Oct
2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI JIJINI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA 65 WA UNWTO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewasili jijini Arusha kufungua Mkutano wa 65 wa UNWTO Kanda ya Afrika, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, unaofanyika jijini Arusha kuanzia leo tarehe 5 hadi… Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top