You Are Here: Home » Whats New

Whats New

08
Sep
2022

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 13.2 KUTOKA GTZ ZA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIF

Serikali imepokea Euro milioni 6 sawa na shilingi bilioni 13.2 kutoka Shirika la Ujerumani la GTZ kwa ajili ya mradi wa kupunguza migogoro baina ya binadamu na wanyamapori hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa hifadhi.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,… Read More

06
Sep
2022

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa, ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Jengo la Ofisini za Wizara ya Maliasili na Utalii unaoendelea katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma. Read More

04
Sep
2022

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU NA HUDUMA ZA JAMII NDANI YA KIJIJI CHA MSOMERA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imefanya ziara katika Kijiji cha Msomera Handeni Mkoani Tanga kwa lengo la kukagua ujenzi wa nyumba za makazi, huduma za kijamii, miundombinu na hali ya maisha ya wananchi kutoka Ngorongoro waliohama kwa hiari Kijiji hapo. Read More

04
Sep
2022

WABUNGE WAGUSWA NA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KATIKA USIMAMIZI WA MALIASILI NA UENDELEZAJI WA UTALII .

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya Usimamizi na Uendelezaji wa rasilimali za Maliasili na Utalii. Read More

04
Sep
2022

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA MISITU TANZANIA (TaFF)

Kufuatia Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua Prof. Shabani Athumani Chamshama kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF), Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi H. Chana (Mb) kwa mamlaka aliyopewa… Read More

TANGAZO_UTEUZI_WA_WAJUMBE_WA_BODI_TaFF_SEPTEMBA_2%2C_2022
01
Sep
2022

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA MALIASILI NA UTALII

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kazi nzuri ya Uhifadhi wa Maliasili na uendelezaji wa Utalii hapa nchini. Read More

01
Sep
2022

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUENDELEA KUELIMISHA WANANCHI MBINU ZA KUKABILIANA NA TEMBO

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kuelimisha wananchi kuhusu mbinu mbalimbali za kukabiliana wanyama wakali na waharibifu hususan tembo ili kupunguza madhara yatokanayo na wanyamapori hao. Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top