You Are Here: Home » Whats New

Whats New

12
Aug
2022

UWANJA WA NDEGE WA NDULI KUWA LANGO LA FURSA YA UTALII.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa utakapokamilika utaongeza fursa za kibiashara na kuifungua zaidi kanda ya Kusini kwenye sekta ya Utalii. Read More

09
Aug
2022

BARABARA YA NJOMBE MAKETE KUCHOCHEA UTALII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Leo tarehe 9 Agosti, 2022 amezidu rasmi Barabara ya Njombe kwenda Makete yenye urefu wa Kilometa 107.4 iliyojengwa kwa kiwango lami.
Read More

09
Aug
2022

WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA MRADI WA REGROW.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Wizara yake fedha za utekelezaji wa Mradi wa kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania( REGROW). Read More

08
Aug
2022

TANZANIA YAPOKEA EURO MILIONI 10 KUTOKA SERIKALI YA UJERUMANI KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea fedha kiasi cha Euro Milioni 10 kutoka kwa Serikali ya Ujerumani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na mradi wa kupunguza migogoro baina ya binadamu na Wanyamapori ambao una thamani ya Euro… Read More

07
Aug
2022

NAIBU WAZIRI MARY MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA USAFIRISHAJI HARAMU WA WANYAMAPORI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amefunga mafunzo ya siku tano ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Read More

06
Aug
2022

RAIS SAMIA ATOA WITO KWA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA KUUNGANA VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA MAZAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi Wakuu wa nchi za Afrika wachukue hatua za makusudi katika udhibiti wa uvunaji na biashara haramu ya usafirishaji wa mazao ya misitu. Read More

04
Aug
2022

TANZANIA YASISITIZA UHIFADHI WA MIOMBO MKUTANO WA KIMATAIFA WA KIKANDA MSUMBIJI.

Tanzania imetoa wito kwa nchi zote za Bara la Afrika kuhakikisha kuwa zinaongeza nguvu katika kuhifadhi rasilimali za misitu ya miombo ambayo ni muhimu kwa maisha ya Waafrika na Dunia kwa Ujumla.
Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top