You Are Here: Home » Whats New » WIZARA YATOA ONYO PICHA ZA RAIS KWENYE VIVUTIO VYA UTALII

WIZARA YATOA ONYO PICHA ZA RAIS KWENYE VIVUTIO VYA UTALII

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa picha za kutengenezwa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zenye kichwa cha habari kinachosema Tembelea Tanzania (BT – Branding Tanzania) zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maeneo mbalimbali ya vivutio vya utalii sio rasmi na hazina kibali cha Serikali.

Wizara inatoa onyo kali na kuwataka watengenezaji na wasambazaji wa picha hizo waache mara moja.

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top