You Are Here: Home » Whats New » MFUMO WA KIELETRONIKI WA TATHMINI YA UPANGAJI WA HUDUMA ZA MALAZI NA CHAKULA KATIKA UBORA

MFUMO WA KIELETRONIKI WA TATHMINI YA UPANGAJI WA HUDUMA ZA MALAZI NA CHAKULA KATIKA UBORA

MFUMO WA KIELETRONIKI WA TATHMINI YA UPANGAJI WA HUDUMA ZA MALAZI NA CHAKULA KATIKA UBORA

Wizara imesanifu na kujenga mfumo wa Kieletroniki wa Tathmini ya Upangaji wa Huduma za Malazi na Chakula katika ubora wa Madaraja utakaotumiwa na Wizara na wadau wengine wote wanaohusika. Mfumo huu umepewa jina la Accommodation Services in Tanzania – aserT. Mfumo wa aserT ambao una matoleo ya kompyuta za mezani (Desktop version) na simu (mobile version) umejengwa kwa kuzingatia Sheria Na. 10 ya Serikali Mtandao ya 2019 na Kanuni zake, viwango na miongozo mbalimbali ya Serikali Mtandao. Sababu muhimu za kuamua kuwa na mfumo wa aserT ni kurahisisha zoezi la Tathmini ya Upangaji wa Huduma za Malazi na Chakula katika ubora wa Madaraja.

UZINDUZI_WA_MFUMO_WA_KIELETRONIKI_WA_TATHMINI_YA_UPANGAJI_WA_HUDUMA_ZA_MALAZI_NA_CHAKULA_KATIKA_UBORA_WA_MADARAJA_

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top