You Are Here: Home » Whats New » Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Authority -TAWA), imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi Septemba, 2015.

TAARIFA_TAWA

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top