You Are Here: Home » Whats New » BARABARA YA NJOMBE MAKETE KUCHOCHEA UTALII

BARABARA YA NJOMBE MAKETE KUCHOCHEA UTALII

BARABARA YA NJOMBE MAKETE KUCHOCHEA UTALII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Leo tarehe 9 Agosti, 2022 amezidu rasmi Barabara ya Njombe kwenda Makete yenye urefu wa Kilometa 107.4 iliyojengwa kwa kiwango lami.

Uzinduzi wa barabara hiyo unatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha shughuli za utalii kwa kuwawezesha wananchi kunufaika na biashara ya Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yupo mkoani Njombe kwa ziara ya siku Mbili.

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top