You Are Here: Home » Whats New » TANGAZO LA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA HUDUMA ZA MALAZI KUTUMIA MFUMO WA MNRT PORTAL

TANGAZO LA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA HUDUMA ZA MALAZI KUTUMIA MFUMO WA MNRT PORTAL

Sheria ya Utalii Na. 29 ya Mwaka 2008, kifungu Na. 30 (a) ikisomwa sambamba na Kanuni ya Huduma za Malazi ya mwaka 2015 (The Tourism (Accomodation Facilities) Regulation, 2015) pamoja na maboresho yake ya mwaka 2019 (The Tourism (Accomodation Facilities Regulation Amendment, 2019) iliyotolewa katika Tangazo la Serikali Na.25 la tarehe 17 Januari, 2020 inaelekeza wamiliki wa huduma za malazi kusajili wageni wote (kimataifa na wa ndani) wanaolala katika huduma za malazi kupitia mfumo wa kielektroniki wa MNRT Portal ( Kwa taarifa zaidi pakua hapo chini)

2._PUBLIC_NOTICE_-ACCOMMODATION_FACILITIES_-_FINAL-1

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top