You Are Here: Home » Whats New » TAARIFA YA SIKU SABA (7) KUONDOKA NA KUACHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU ZINAZOFANYIKA NDANI YA MSITU

TAARIFA YA SIKU SABA (7) KUONDOKA NA KUACHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU ZINAZOFANYIKA NDANI YA MSITU

2. MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) KWA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATAARIFU NA KUWATANGAZIA WATU WOTE WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA MOROGORO NA KUISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZOZOTE ZA KIBINADAMU, KUWA SHUGHULI WANAZOZIFANYA NDANI YA MSITU HUO NI KINYUME CHA SHERIA YA MSITU NAMBA 14 YA MWAKA 2002 (FOREST ACT NO. 323 (RE: 2002)

TANGAZO_LA_KUWAONDOA_WAVAMIZI_MANISPAA_MOROGORO

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top