You Are Here: Home » Whats New » UTAMBUZI NA UHAKIKI WA HUDUMA ZA MALAZI NCHINI

UTAMBUZI NA UHAKIKI WA HUDUMA ZA MALAZI NCHINI

Wizara ya Maliasili na Utalii inawatangazia wamiliki wa huduma za malazi nchini kuwa itafanya kazi ya utambuzi na uhakiki wa huduma za malazi kuanzia tarehe 12 Aprili, 2021. Kazi hiyo itaanza kufanyika katika mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Mara, Mwanza, Geita, na Kagera.

Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu www.maliasili.go.tz au fika kwenye Ofisi zetu za Makao Makuu zilizopo UDOM, Dodoma au Ofisi za Utalii za Kanda zilizopo Jengo la Mpingo, Dar es Salaam; PSSSF, Mwanza; Jengo la NSSF, Iringa; na TANAPA Makao Makuu Arusha.

TANGAZO_%281%29

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top