You Are Here: Home » Whats New » SERIKALI YA TANZANIA NA OMAN ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UTALII

SERIKALI YA TANZANIA NA OMAN ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UTALII

SERIKALI YA TANZANIA NA OMAN ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UTALII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini kati ya nchi ya Oman na Tanzania uliofanywa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Oman. Katika tukio hilo mikataba miwili imesainiwa ambapo mmoja unelenga Sekta ya Utalii na mwingine masuala ya Makumbusho ya Taifa.

Katika Mikataba yote miwili Tanzania na Oman zimekusudia kushirikiana katika kutangaza vivutio vya utalii, maeneo ya kihistoria, na kubadilishana ujuzi kwa lengo la kukuza sekta hizo.

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top