You Are Here: Home » Whats New » MABORESHO YA TOVUTI YA WIZARA

MABORESHO YA TOVUTI YA WIZARA

Wizara ya Maliasili na Utalii inawatangazia wananchi wote kuwa Tovuti hii ya Wizara inayopatikana kwa anuani ya www.maliasili.go.tz inaendelea kufanyiwa maboresho makubwa yenye lengo la kuongeza wigo wa utoaji na upatikanaji taarifa mbalimbali za Wizara kuhusu Sekta ya Wanyamapori, Misitu na Nyuki, Malikale na Uendelezaji Utalii.

 

Hivyo, kufuatia maboresho yanayoendelea ( https://demo.maliasili.go.tz ) baadhi ya taarifa mpya kuhusu matukio mbalimbali ya Wizara hazionekani hapa. Tunaomba radhi kwa usumbufu mnaoupata. Pia msiache kutufuatilia kupitia akaunti zetu za mitandao ya kijamii ya TWITTER, INSTAGRAM, FACEBOOK, YOUTUBE na TIKTOK - wizarayamaliasilinautalii

 

Imetolewa na ;-

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI

© 2023 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top