Kuwasilisha Maombi ya Leseni ya Biashara ya Nyara Kwa Mwaka 2016
Wizara ya Maliasili na Utalii inawajulisha wananchi wanaotaka kufanya biashara ya nyara kuwasilisha maombi yao kwa Maafisa Wanyamapori wa Wilaya ambao watawapatia fomu za maombi.
TAARIFA_KWA_UMMA_TANGAZO_LA_KUWASILISHA_MAOMBI_YA_LESENI_ZA_TDL_2015