You Are Here: Home » Whats New

Whats New

15
Sep
2021

TZ YAKIPIGIA CHAPUO KISWAHILI KUTUMIKA MIKUTANO YA UNWTO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro awasilisha ajenda ya kutaka lugha ya Kiswahili ianze kutumika kama lugha ya mawasiliano na lugha ya kufundishia katika mikutano itakayokuwa ikiandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya utalii Duniani ( UNWTO)… Read More

15
Sep
2021

AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei za wanyamapori katika biashara uwindaji wa kiutalii
Read More

15
Sep
2021

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA 65 WA UTALII

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Utalii (UNWTO) limeichagua Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Utalii wa 65 wa Kanda ya Afrika utakaofanyika Jiji la Arusha Oktoba,2022. Read More

09
Sep
2021

ONESHO LA KWANZA LA UTALII LA EAC 2021 KUFANYIKA TANZANIA

Ndugu Wanahabari;

Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana hapa leo. Aidha, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa kuitikia wito huu. Ni dhahiri kuwa vyombo vya habari mmekuwa mabalozi wetu wazuri katika kufanikisha… Read More

PRESS_RELEASE_YA_NAIBU_WAZIRI_EARTRE-1_OG_yamwisho
09
Sep
2021

WIZARA YATOA ONYO PICHA ZA RAIS KWENYE VIVUTIO VYA UTALII

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa picha za kutengenezwa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zenye kichwa cha habari kinachosema Tembelea Tanzania (BT – Branding Tanzania) zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan… Read More

09
Sep
2021

UFAFANUZI KUHUSU IDADI YA NYUMBU WANAOHAMA TOKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KWENDA NCHI JIRANI

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoendelea kusambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa makundi makubwa ya nyumbu wanaotumia maeneo ya Hifadhi ya Taifa Serengeti, Eneo la Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro pamoja na… Read More

UFAFANUZI_KUHUSU_NYUMBU_WANAOHAMA_-_PDF
23
Jun
2021

MAWAZIRI WA SADC WAPITISHA ITIFAKI YA KUENDELEZA UTALII

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa itifaki ya kuendeleza utalii imepitishwa na Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanaohusika na Mazingira, Maliasili na Utalii ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa nchi za… Read More

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top