You Are Here: Home » Whats New

Whats New

27
Dec
2013

11 Facts About Poaching Animals

Animal poaching is when an animal is killed illegally. It usually occurs when an animal possesses something that is considered valuable (i.e. the animal’s fur or ivory). Read More

27
Nov
2013

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Hifadhi ya Rabanda

Serikali imeshangazwa na hatua ya wageni kuwavamia mbuga mbalimbali na misitu nchini kiasi cha kufanya kuongezeka vitendo vya ujangili na kuahidi kuchukua hatua kali ili kutokomeza ujangili huo. Read More

26
Oct
2013

Mchango wa Uhifadhi Katika Kukuza Uchumi wa Nchi na Umuhimu wa Wananchi Kushiriki Kuzuia Ujangili

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Wanyamapori ina dhamana ya kuhifadhi rasilimali ya wanyamapori nchini. Ili kutekeleza uhifadhi huo, Tanzania imetenga maeneo ya uhifadhi yenye ukubwa wa takriban asilimia 28 ya nchi kavu ya Tanzania Bara. Maeneo hayo yanajumuisha; Hifadhi… Read More

26
Sep
2013

The government has called on Tanzanians to expose all poachers

The government has called on Tanzanians to expose all poachers engaged in killings of wild animals especially elephants whose decimation was on the increase. Read More

03
Sep
2013

Kisiwa Cha Saanane Chatangazwa Rasmi Hifadhi ya Taifa

Kisiwa cha Saanane kimetangazwa rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa kufuatia Tangazo la Serikali Namba 227 lililotolewa hivi karibuni. Read More

03
Sep
2013

Saanane Island Declared National Park (English Version)

Saanane Island has been officially declared as a National Park following the Government Notice Number 227 issued recently. Read More

26
Aug
2013

Commencement of the Collection of Tourism Development Levy

The Tourism Development Levy was established under section 59 (1) of the Tourism Act, No. 29 of 2008. Section 59 (2) of that Act, which empowers the Minister responsible for tourism to make regulations prescribing the manner and modality under which the levy may be collected and used.… Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top