You Are Here: Home » Whats New

Whats New

23
Jun
2021

MAWAZIRI WA SADC WAPITISHA ITIFAKI YA KUENDELEZA UTALII

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa itifaki ya kuendeleza utalii imepitishwa na Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanaohusika na Mazingira, Maliasili na Utalii ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa nchi za… Read More

04
Jun
2021

HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WAKATI AKIWASILISHA BAJETI

Hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (MB.), wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. Read More

HOTUBA_YA_BAJETI_YA_WIZARA_YA_MALIASILI_NA_UTALII_2021-2022
02
Jun
2021

UAMUZI WA SERIKALI KUHUSU KUENDELEA KWA UVUNAJI, USAFIRISHAJI NA BIASHARA YA MAZAO NA BIDHAA ZA MTI

Mti jamii ya Mkurungu (Pterocarpus tinctorius) ambao pia unafahamika kwa jina la ‘Mkula’ huko Zambia, ni mojawapo ya jamii (species) za miti ambayo hupatikana kwa wingi nchini katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi, Mbeya na Rukwa. Aidha, miti hii hupatikana pia katika nchi jirani… Read More

PRESS_RELEASE-_MKURUNGU
28
May
2021

NATIONAL STANDARD OPERATING PROCEDURES FOR THE MANAGEMENT OF COVID-19 IN THE TOURISM BUSINESS

Tourism is one of the key economic sectors in Tanzania. Over the past few years, the sector’s impressive growth has enhanced macro-economic diversification from the traditional reliance on agriculture. Tanzania is endowed with a variety of tourist attractions categorized into nature… Read More

FINAL_SOPS_FOR_OPENING_TOURISM_2020_
28
May
2021

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAKABIDHI SIMU KURIPOTI MATUKIO YA UVAMIZI WA WANYAMAPORI WAKALI

Kufuatia matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu kuvamia katika maeneo ya watu, Wizara ya Maliasili na Utalii leo imezindua namba maalum na kukabidhi simu (14) zitakazowezesha wananchi kupiga simu bure kwa taasisi mbalimbali za uhifadhi zilizo zinazosimamia Wanyamapori nchini… Read More

25
May
2021

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top