You Are Here: Home » Whats New

Whats New

29
Jan
2021

TAWA YAKUTANA NA WAMILIKI WA BUCHA ZA NYAMAPORI

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Jana tarehe 27/01/2021 katika ukumbi wa Malihai Club uliopo Njiro Jijini Arusha ilifanya Warsha na wamiliki wa Mabucha ya nyamapori waliokidhi vigezo vya usajili na kupewa leseni za biashara ya Nyamapori waliotoka sehemu mbalimbali… Read More

01
Jan
2021

DKT. NDUMBARO AWATAKA WALIOVAMIA MAENEO YA HIFADHI KUONDOKA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro leo Jumamosi tarehe 1Januari, 2021 ameongoza doria ya kuangalia hali ya uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, Pori la Akiba la Gesimasowe pamoja na Litumbandosi na kutoa agizo kwa Wavamizi walioanzisha shughuli za kibinadamu… Read More

27
Dec
2020

DKT. NDUMBARO AONGOZA MAPOKEZI YA MUANDAAJI MAARUFU WA FILAMU ZA UTALII DUNIANI KUTOKA MAREKANI 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro leo Jumapili tarehe 27 Disemba 2020  aongoza mapokezi ya kumpokea Muandaaji maarufu wa taarifa na makala za utalii duniani, Drew Binsky katika Uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Marekani
Read More

18
Dec
2020

MFUMO WA KIELETRONIKI WA TATHMINI YA UPANGAJI WA HUDUMA ZA MALAZI NA CHAKULA KATIKA UBORA

Wizara imesanifu na kujenga mfumo wa Kieletroniki wa Tathmini ya Upangaji wa Huduma za Malazi na Chakula katika ubora wa Madaraja utakaotumiwa na Wizara na wadau wengine wote wanaohusika. Mfumo huu umepewa jina la Accommodation Services in Tanzania – aserT. Mfumo wa aserT ambao… Read More

UZINDUZI_WA_MFUMO_WA_KIELETRONIKI_WA_TATHMINI_YA_UPANGAJI_WA_HUDUMA_ZA_MALAZI_NA_CHAKULA_KATIKA_UBORA_WA_MADARAJA_
12
Oct
2020

UZINDUZI WA MKAKATI WA KITAIFA WA KUSIMAMIA UTATUZI WA MIGOGORO BAINA YA BINADAMU NA WANYAMAPORI

Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye idadi kubwa ya wanyamapori na imetenga zaidi ya theluthi ya ardhi yake kwa ajili ya uhifadhi wa Wanyamapori. Ardhi hiyo ni Hifadhi za Taifa 22, Mapori ya Akiba 22, Mapori Tengefu 30, Maeneo ya Ardhioevu matatu na Maeneo 38 ya Jumuiya… Read More

Hotuba_ya_Waziri_08_Oktoba_2020_-1

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top