Press Releases
Oct
2015
Serikali Yakanusha Kuhusu Utoroshaji wa Wanyamapori Katika Pori la Loliondo
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekanusha uzushi uliosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu utoroshwaji wa nyara za Taifa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Mpingo House, jijini Dar es Salaam,… Read More
Sep
2015
Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Authority -TAWA), imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi Septemba, 2015. Read More

Sep
2015
Kuwasilisha Maombi ya Leseni ya Biashara ya Nyara Kwa Mwaka 2016
Wizara ya Maliasili na Utalii inawajulisha wananchi wanaotaka kufanya biashara ya nyara kuwasilisha maombi yao kwa Maafisa Wanyamapori wa Wilaya ambao watawapatia fomu za maombi. Read More

Aug
2015
Kukamatwa kwa Meno ya Tembo, Kucha na Meno ya Simba katika uwanja wa ndege wa Zurich nchini Uswisi
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea taarifa kupitia Vyombo vya Habari inayohusu kukamatwa kwa nyara zinazojumuisha meno ya tembo yenye uzito wa kilo 262, kucha na meno ya simba vyenye uzito wa kilo moja(1). Tukio la kukamatwa kwa nyara hizo limetokea… Read More
Aug
2014
Integrated Preservation Economic & Development at Kilwa Kisiwani & Songo Mnara, Tanzania, 2011-2014
The US Ambassador to Tanzania, Mr. Mark Childress, and the Minister for Natural Resources and Tourism, Hon. Lazaro Nyalandu, in August 19, 2014 will unveil a plaque commemorating the successful conclusion of the project to conserve Kilwa Kisiwani and Songo Mnara World Heritage Site,… Read More
Jul
2014
Investment Opportunities in Tanzania
Tanzania offers a wide range of investment opportunities in natural and cultural tourist attractions. The country is internationally renowned for its abundance of wildlife resources, cultural heritage resources, forest resources, unexploited beaches and marine resources. Tanzania… Read More

May
2014
A Conference Of Key National And International Stakeholders In Wildlife Conservation
The Government of United Republic of Tanzania and the International Conservation Caucus Foundation (ICCF), in collaboration with the United Nations Development Program (UNDP), will convene a conference of key national and international stakeholders in wildlife conservation. Read More
