You Are Here: Home » Whats New

Press Releases

07
Apr
2013

Team Tanzania Off to China for Tourism Promotion Mission

Tanzanian delegation will visit People‚Äôs Republic of China next week for an extensive tourism promotion campaign to the fast growing economy country of China. Team Tanzania led by the Deputy Permanent Secretary from the Ministry of Natural Resources and Tourism Ms. Nuru Millao will… Read More

16
Mar
2013

Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Warsha ya Kimataifa ya Takwimu za Utalii

Tanzania itakuwa mwenyeji wa Warsha ya kimataifa ya takwimu za utalii ambayo itafanyika kwa siku nne , tarehe 18 hadi 21 mwezi huu, katika ukumbi wa Benki Kuu Dar es Salaam. Read More

26
Feb
2013

Uzinduzi wa Siku ya Taifa ya Kutundika Mizinga Tarehe 4 Machi 2013

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Taifa ya Kutundika Mizinga ambayo itazinduliwa kwa mara ya kwanza Machi 4 Mwaka huu mkoani Singida katika Hifadhi ya Aghondi, iliyoko katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida. Read More

22
Feb
2013

Waziri Kagasheki Aanza Kutatua Kero za Vibali yya Uvunaji Katika Shamba la Miti Sao Hill

Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Khamis Suedi Kagasheki amewaruhusu watu 292 ambao vibali vyao vilisitishwa mwezi Januari mwaka huu, kutokana na utata uliojitokeza, kuendelea na uvunaji katika Shamba la Sao Hill. Waziri Kagasheki ametoa ruhusa hiyo baada ya kujiridhisha kuwa… Read More

04
Feb
2013

Mawaziri wa Nchi Mbili Kuzindua Kituo Cha Wageni Katika WMA Ya Burunge - Manyara

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani Bwana David Hayes kwa pamoja watazindua Kituo cha Wageni cha Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (Wildlife Management Area - WMA) cha Burunge Mkoani Manyara na kukikabidhi kwa wananchi. Read More

27
Jan
2013

Waziri Kagasheki Ameanza Kutatua Migogoro ya Uvunaji na Uvamizi Katika Shamba la Sao Hill

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Khamis Kagasheki amesema kuwa Wizara yake inathamini sana mchango mkubwa unaotolewa na wananchi wanaoishi katika vijiji vinavyozunguka Shamba la Miti Sao Hill na kuwa Wizara itahakikisha kuwa wananchi hao wanaendelea kufaidi matunda yanayotokana na… Read More

26
Jun
2010

Stars Awarded To Accommodation Establishments In Dar Es Salaam And Coast Regions In Tanzania

Stars Awarded To Accommodation Establishments In Dar Es Salaam And Coast Regions In Tanzania
Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top