You Are Here: Home » Whats New

Press Releases

26
Oct
2013

Mchango wa Uhifadhi Katika Kukuza Uchumi wa Nchi na Umuhimu wa Wananchi Kushiriki Kuzuia Ujangili

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Wanyamapori ina dhamana ya kuhifadhi rasilimali ya wanyamapori nchini. Ili kutekeleza uhifadhi huo, Tanzania imetenga maeneo ya uhifadhi yenye ukubwa wa takriban asilimia 28 ya nchi kavu ya Tanzania Bara. Maeneo hayo yanajumuisha; Hifadhi… Read More

26
Sep
2013

The government has called on Tanzanians to expose all poachers

The government has called on Tanzanians to expose all poachers engaged in killings of wild animals especially elephants whose decimation was on the increase. Read More

03
Sep
2013

Kisiwa Cha Saanane Chatangazwa Rasmi Hifadhi ya Taifa

Kisiwa cha Saanane kimetangazwa rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa kufuatia Tangazo la Serikali Namba 227 lililotolewa hivi karibuni. Read More

03
Sep
2013

Saanane Island Declared National Park (English Version)

Saanane Island has been officially declared as a National Park following the Government Notice Number 227 issued recently. Read More

26
Aug
2013

Commencement of the Collection of Tourism Development Levy

The Tourism Development Levy was established under section 59 (1) of the Tourism Act, No. 29 of 2008. Section 59 (2) of that Act, which empowers the Minister responsible for tourism to make regulations prescribing the manner and modality under which the levy may be collected and used.… Read More

26
Jul
2013

Permits For Conducting Non-Consumptive Wildlife Utilization Outside The National Parks & Ngorongoro

The Ministry of Natural Resources and Tourism is hereby reminding all Tour Operators and owners of Tourist Lodges and Campsites operating in wildlife areas outside the National Parks and Ngorongoro Conservation Area that Regulation 4 of The Wildlife Conservation (Non-Consumptive Wildlife… Read More

11
May
2013

Maadhimisho ya Siku ya Ndege Wahamao Duniani Tarehe 11 – 12 Mei 2013

Wizara ya Maliasili na Utalii imewataka wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya Ardhioevu ambayo ni makazi na mapito ya ndege wahamao kushirikiana na Serikali katika kuwalinda ndege hao na kuhifadhi mapito na makazi yao. Wananchi pia wanakumbushwa kuwa maeneo ya ardhioevu ndio vyanzo… Read More

© 2023 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top