You Are Here: Home » Whats New

Press Releases

16
Jul
2022

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKALA WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII TANZANIA (NCT)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi H. Chana (Mb), amemteua Bw. Imani Joel Kajula kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii Tanzania (NCT) kwa kipindi cha miaka mitatu. Read More

UTEUZI_WA_WAJUMBE_WA_BODI_YA_CHUO_CHA_TAIFA_CHA_UTALII_-_TAARIFA_KWA_UMMA
25
Jun
2017

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA MWAKA 2017

Wizara ya Maliasili na Utalii inawakaribisha wananchi wote kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar–es-Salaam (Sabasaba) yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa kuanzia tarehe 28 Juni hadi 8 Julai 2017. Karibu ujionee shughuli mbalimbali zinazofanywa… Read More

01
Oct
2015

Serikali Yakanusha Kuhusu Utoroshaji wa Wanyamapori Katika Pori la Loliondo

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekanusha uzushi uliosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu utoroshwaji wa nyara za Taifa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Mpingo House, jijini Dar es Salaam,… Read More

22
Sep
2015

Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Authority -TAWA), imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi Septemba, 2015. Read More

TAARIFA_TAWA
17
Sep
2015

Kuwasilisha Maombi ya Leseni ya Biashara ya Nyara Kwa Mwaka 2016

Wizara ya Maliasili na Utalii inawajulisha wananchi wanaotaka kufanya biashara ya nyara kuwasilisha maombi yao kwa Maafisa Wanyamapori wa Wilaya ambao watawapatia fomu za maombi. Read More

TAARIFA_KWA_UMMA_TANGAZO_LA_KUWASILISHA_MAOMBI_YA_LESENI_ZA_TDL_2015
05
Aug
2015

Kukamatwa kwa Meno ya Tembo, Kucha na Meno ya Simba katika uwanja wa ndege wa Zurich nchini Uswisi

TAARIFA KWA UMMA

Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea taarifa kupitia Vyombo vya Habari inayohusu kukamatwa kwa nyara zinazojumuisha meno ya tembo yenye uzito wa kilo 262, kucha na meno ya simba vyenye uzito wa kilo moja(1). Tukio la kukamatwa kwa nyara hizo limetokea… Read More

18
Aug
2014

Integrated Preservation Economic & Development at Kilwa Kisiwani & Songo Mnara, Tanzania, 2011-2014

The US Ambassador to Tanzania, Mr. Mark Childress, and the Minister for Natural Resources and Tourism, Hon. Lazaro Nyalandu, in August 19, 2014 will unveil a plaque commemorating the successful conclusion of the project to conserve Kilwa Kisiwani and Songo Mnara World Heritage Site,… Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top