News and Events
May
2014
Serikali Kuanzisha Mfumo Mpya Wa Kuwalinda Wanyamapori
Wadau wa uhifadhi wa kitaifa na kimataifa wamekutana jijini Dar es Salaam na kujadili jinsi ya kuwezesha mfumo mpya utakaowezasha kulinda wanyamapori.
Akifungua mkutano huo jijini hapa leo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu… Read More
May
2014
Wafanyakazi Maliasili Na Utalii Waungana Na Wenzao Duniani Kusheherekea Mei Mosi
Wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii waungana na Wafanyakazi wenzao kusherekea siku ya Wafanyakazi Duniani ( Mei Mosi) wakati Mhe. Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo katika Uwanja wa Uhuru DareS salaam. Read More
Mar
2014
Tanzania’s campaign against poaching gets global backing
Tanzania has signed an agreement with the International Conservation Caucus Foundation (ICCF) and the United Nations Development Programme (UNDP) to curb the current wave of poaching. Read More
Mar
2014
Tanzania Shines at ITB Berlin, 2014
Tanzanian stand attracted hundreds of tourists, travel agents and other tourism stakeholders in the ongoing International Tourism Exchange, which is the World’s largest annual tourism exhibition taking place in Berlin, Germany. Read More
Mar
2014
Mh Waziri Lazaro Nyalandu alipo zindua magari yalionunuliwa kwa ajili ya kupambana na Ujangili
Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu alipo zindua magari yalionunuliwa kwa ajili ya kupambana na Ujangili Read More
Jan
2014
Dkt. Mohammed Gharib Bilal ateta na waziri wa Utalii na Maliasili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan… Read More
Nov
2013
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Hifadhi ya Rabanda
Serikali imeshangazwa na hatua ya wageni kuwavamia mbuga mbalimbali na misitu nchini kiasi cha kufanya kuongezeka vitendo vya ujangili na kuahidi kuchukua hatua kali ili kutokomeza ujangili huo. Read More