You Are Here: Home » Whats New

News and Events

20
Jun
2022

“MAENEO YA HIFADHI YATAKAYOPANDISHWA HADHI SIO MAENEO YA VIJIJI VYA WANANCHI” Mhe. Masanja

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema maeneo ya Mapori Tengefu yatakayopandishwa hadhi kuwa Mapori ya Akiba ni maeneo yenye hadhi nzuri kwa ajili ya uhifadhi na hayana vijiji vya wananchi.
Read More

15
Jun
2022

MIFUGO YA WANANCHI NA MALI ZAO IMEWASILI SALAMA MSOMERA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt Pindi Chana amewapongeza waratibu wote na wananchi wa Ngorogoro walioamua kuhamia kijiji Cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni Tanga, kwa kuratibu vizuri zoezi la kuhamisha watu na mifugo. Read More

14
Jun
2022

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTANGAZA UTALII WA UTAMADUNI NA MALIKALE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Wizara ya Maliasili na Utalii iko tayari kutoa ushirikiano kwa wadau wanaofanya jitihada za kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuandaa matamasha ya kutangaza utalii wa utamaduni na malikale.
Read More

09
Jun
2022

SERIKALI YAFANYA TATHMINI MGOGORO KATI YA WANANCHI NA TAWA BONDE LA MTO KILOMBERO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali imetuma timu ya wataalam ya Kitaifa ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi kwa ajili ya zoezi la kufanya tathmini kuhusu mgogoro kati ya wananchi wa maeneo yanayozunguka Bonde la mto Kilombero na Tanzania Wildlife… Read More

01
Jun
2022

THE ROYAL TOUR YALETA MWEKEZAJI MKUBWA

Jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan za kutangaza Utalii nchini kupitia Filamu ya The Royal Tour zinaendelea kuzaa matunda nchini. Read More

01
Jun
2022

SERIKALI KUAJIRI ASKARI 600 KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba kibali cha kuajiri askari wa uhifadhi wapya 600 ambao watasambazwa kwenye maeneo hatarishi ili kudhibiti wanyamapori wakali na waharibifu. Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top