You Are Here: Home » Whats New

News and Events

01
Jun
2022

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAWAFUNDA WABUNGE MIKAKATI YA KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI

Wizara ya Maliasili na Utalii imefanya semina kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu uhifadhi wa wanyamapori nchini na namna ya kukabiliana na changamoto za migongano kati ya binadamu na wanyamapori. Read More

29
May
2022

NAIBU WAZIRI MASANJA AELEKEZA KUJENGWA KITUO KUKABILIANA NA TATIZO LA TEMBO NACHINGWEA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameelekeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kujenga kituo cha askari wa uhifadhi katika kijiji cha Namapuya na Namanja Wilayani Nachingwea ili kukabiliana na changamoto ya tembo wanaovamia makazi ya watu… Read More

27
May
2022

TANZANIA YAKUBALIANA NA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA KUUNDA MFUKO WA KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI NA W

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeingia makubaliano na Nchi za Kusini mwa Afrika kuunda mfuko maalum kwa kila nchi wa kukabiliana na wanyama wakali na waharibifu hususan tembo. Read More

20
May
2022

MHE. MASANJA ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTUNZAJI WA MALIASILI AFRIKA MASHARIKI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana, kubadilishana uzoefu na kuimarisha juhudi za pamoja za kutunza maliasili zinazochangia katika maendeleo ya nchi hizo. Read More

18
May
2022

NAIBU WAZIRI MASANJA AIPONGEZA SERIKALI KWA KUKUSANYA MAPATO KATIKA MFUKO MKUU WA SERIKALI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameipongeza Serikali kwa kutekeleza takwa la kisheria la kuhakikisha makusanyo yote yanaingia kwenye kapu moja (Mfuko Mkuu wa Serikali) kwa kubadili Sheria ya Fedha ya mwaka 2020 (Finance Act 2020) ambapo jukumu la kukusanya… Read More

17
May
2022

*MISITU YAAJIRI WATU ZAIDI YA MILIONI 4* .


Kufuatia Sekta ya Misitu kuzalisha ajira zaidi ya milioni 4 nchini wito umetolewa kwa sekta hiyo iendelee kupewa kipaumbele katika uhifadhi ili iongeze mchango zaidi katika Pato la Taifa. Read More

16
May
2022

WIZARA YA MALIASILI YATAJA MIRADI YA UJIRANI MWEMA ILIYOTEKELEZWA

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi zake za TAWA, TANAPA na NCAA imetekeleza miradi ya ujirani mwema kwa jamii zinazozunguka maeneo yaliyohifadhiwa zikiwemo Hifadhi za Taifa, Mapori ya Akiba, Mapori Tengefu na Hifadhi za Wanyamapori za Jamii (WMAs). Read More

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top