News and Events
Oct
2022
WANANCHI IRINGA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUDHIBITI MOTO KWENYE MASHAMBA YA MITI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe.Mary Masanja(Mb) amewataka wananchi Mkoani Iringa kushirikiana katika kudhibiti matukio ya moto yanayojitokeza kwenye mashamba ya miti binafsi na ya Serikali. Read More
Oct
2022
WANANCHI SONGWE WATAKIWA KUACHA KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewaasa wananchi wa Kitongoji cha Nkanka ,Kijiji cha Itumba katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, kuacha kuvamia maeneo ya hifadhi hasa katika eneo la Hifadhi ya Msitu wa Ileje Range. Read More
Oct
2022
“TATHMINI YA MIPAKA YA MAPORI YA AKIBA YALIYOPANDISHWA HADHI MKOANI KATAVI HAITAINGILIA MAAMUZI YA B
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa tathmini ya mipaka mipya ya Mapori ya Akiba yaliyopandishwa hadhi na kuonekana kuwa na changamoto ya muingiliano wa mipaka, haitagusa maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusu mipaka ya vijiji.
Read More
Oct
2022
NAIBU WAZIRI MASANJA AWATAKA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA IPASAVYO MAENEO YA HIFADHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia vyema maeneo ya hifadhi ili kuepusha migogoro baina ya shughuli za kibinadamu na hifadhi.
Read More
Sep
2022
NAIBU WAZIRI MASANJA AIPONGEZA KAMATI YA KITAIFA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 65 WA SHIRIKA LA UTALII DU
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameipongeza Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani-Kamisheni ya Afrika(UNWTO) kwa kuendelea na maandalizi mazuri ili kufanikisha mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 5-7, 2022 katika… Read More
Sep
2022
WARSHA YA WADAU WA UHIFADHI MFUMO WA IKOLOJIA WA HEWA YA UKAA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amefungua warsha ya siku mbili ya wadau wa uhifadhi mfumo wa ikolojia wa hewa ya ukaa ya bluu na uendelezaji wa uchumi wa bluu Tanzania, lengo ikiwa ni kujadili namna bora ya kuondokana na changamoto zinazoikabili sekta ya misitu… Read More
Sep
2022
WAVUNAJI MKAA WATAKIWA KUFUATA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU
Serikali imewataka wananchi wanaofanya biashara ya mkaa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu kwa kuwa kumekuwepo na wimbi la uvunaji wa mazao ya misitu, ukataji na uchomaji wa mkaa bila kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia biashara hiyo.
Hayo yamesemwa leo Septemba… Read More