Whats New
Jun
2022
PROF. SEDOYEKA AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI TENDAJI YA MRADI WA KUPAMBANA NA UJANGILI NCHINI
Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka amefungua mkutano wa tatu wa Kamati Tendaji ya Mradi Jumuishi wa Kupambana na Ujangili na Biashara haramu ya Wanyamapori Tanzania. Read More
Jun
2022
SERIKALI KUBORESHA MAENEO YA MAKUMBUSHO YA WAPIGANIA UHURU NCHINI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa Serikali itaendelea kuyalinda, kuyasimamia, kuyatangaza na kuyaboresha maeneo ya Makumbusho ya Wapigania Uhuru ili kuyafanya yawe vivutio vya utalii.
Read More
Jun
2022
MHE. MASANJA ASHIRIKI MKUTANO WA MABALOZI NA WAKUU WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amemuwakilisha Waziri wa Maliasili na Utalii katika Mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini kuwaelezea mpango wa Serikali katika kulinda na kuhifadhi… Read More
Jun
2022
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUPITIA SEKRETARIETI YA AJIRA
On behalf of Ministry of Natural Resources and Tourism (MNRT), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS), invites dynamic, Innovative, Experienced and Suitable qualified Tanzanians to fill Two (2) vacant posts.
Read More

Jun
2022
“MAENEO YA HIFADHI YATAKAYOPANDISHWA HADHI SIO MAENEO YA VIJIJI VYA WANANCHI” Mhe. Masanja
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema maeneo ya Mapori Tengefu yatakayopandishwa hadhi kuwa Mapori ya Akiba ni maeneo yenye hadhi nzuri kwa ajili ya uhifadhi na hayana vijiji vya wananchi.
Read More
Jun
2022
THE TRUTH ABOUT LOLIONDO GAME CONTROLLED AREA
Loliondo Game Controlled Area is one of the wildlife protected areas in Tanzania since 1951 with an area of 4,000 square kilometers. This is a very important strategic area for sustainable conservation and tourism development for the Great Serengeti - Mara ecosystem. The Great Serengeti-Mara… Read More

Jun
2022
WAISHUKURU SERIKALI KWA KUFIKA MSOMERA
Mkuu wa Kimila wa kabila la Maasai walilokuwa wakiishi katika Hifadhi ya Ngorogoro, Laigwanani Matigoi Tauwo amemshukuru Mungu kwa kumuongoza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake ya kuwapatia Makazi Bora katika Kijiji Cha Msomera kilichopo… Read More