You Are Here: Home » Whats New

Whats New

30
Apr
2021

KAMPUNI YA GREEN MILE SAFARI YAREJESHEWA KITALU CHA LAKE NATRON EAST.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa hukumu ya Kitalu cha uwindaji cha cha Lake Natron East kilichoko wilayani Longido mkoani Arusha na kuagiza kampuni ya Green Mile Safari irejeshewe leseni ya umiliki wa kitalu hicho iliyofutwa mwaka 2019. Read More

25
Apr
2021

WAZIRI DKT.DAMAS NDUMBARO ATOA AGIZO KWA TAASISI ZA WIZARA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameziagiza Taasisi zote za Wizara ya Maliasili na Utalii ambazo zinatangaza Utalii na zinafanya Uhifadhi kuweza kushiriki Tamasha la Majimaji Selebuka.

Read More

10
Apr
2021

MKURUGENZI MKUU WA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) ASIMAMISHWA KAZI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bi. Devotha Mdachi ili kupisha uchunguzi wa madai ya ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya kiutawala yanayohusu Rasilimali Watu katika ofisi yake. Read More

05
Apr
2021

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. NDUMBARO AIAGIZA TFS KUPANDA MITI ASILI KATIKA BWAWA LA UMEME

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameiagiza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) kuanza kupanda miti ya asili katika maeneo ambayo yako wazi na hayataguswa na Ujenzi unaoendelea wa Bwawa la Julius Nyerere ( JNHPP-MW2115)

Read More

05
Apr
2021

MAWAZIRI WAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE, WAPONGEZA

Mawaziri kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora wamefanya ziara ya kukagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaotarajiwa kukamilika mwakani ambapo wamepongeza kazi kubwa inayoendelea kufanyika.Read More

15
Mar
2021

WIZARA YAPONGEZWA KWA KUPUNGUZA TATIZO LA UJANGILI HAPA NCHINI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi ,Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kupunguza tatizo la ujangili hapa nchini .
Read More

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top