Whats New
Apr
2021
MKURUGENZI MKUU WA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) ASIMAMISHWA KAZI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bi. Devotha Mdachi ili kupisha uchunguzi wa madai ya ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya kiutawala yanayohusu Rasilimali Watu katika ofisi yake. Read More
Apr
2021
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. NDUMBARO AIAGIZA TFS KUPANDA MITI ASILI KATIKA BWAWA LA UMEME
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameiagiza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) kuanza kupanda miti ya asili katika maeneo ambayo yako wazi na hayataguswa na Ujenzi unaoendelea wa Bwawa la Julius Nyerere ( JNHPP-MW2115)
Read More
Apr
2021
MAWAZIRI WAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE, WAPONGEZA
Mawaziri kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora wamefanya ziara ya kukagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaotarajiwa kukamilika mwakani ambapo wamepongeza kazi kubwa inayoendelea kufanyika.
Read More
Mar
2021
WIZARA YAPONGEZWA KWA KUPUNGUZA TATIZO LA UJANGILI HAPA NCHINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi ,Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kupunguza tatizo la ujangili hapa nchini .
Read More
Mar
2021
WATUHUMIWA WATATU WASHIKILIWA KWA KOSA LA KUSAFIRISHA VINYONGA 74 NA NYOKA 6 NJE YA NCHI
Wizara ya Maliasili na Utalii imewakamata Watanzania watatu wanaotuhumiwa kusafirisha vinyonga hai 74 na nyoka 6 kinyume cha sheria na kuwazuia raia wawili wa Jamhuri ya Czech. Read More
Mar
2021
KATIBU MKUU, DKT.ALOYCE K. NZUKI ARIDHISHWA UJENZI WA BARABARA YA SENETO HADI KRETA YA NGORONGORO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki leo tarehe 10 Machi, 2021 ametembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kukagua ujenzi wa barabara ya Seneto hadi Kreta ya Ngorongoro yenye urefu wa Kilomita 4.4 inayojengwa kwa Teknolojiaa ya mawe. Read More
