NAIPONGEZA SANA TIMU YA YANGA

NAIPONGEZA SANA TIMU YA YANGA

Waziri Dkt. Ndumbaro ameipongeza timu ya Yanga kwa kukubali kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini bila malipo kwa kuweka nembo katika jezi zao

TIMU YA YANGA KUTANGAZA UTALII KIMATAIFA

Waziri Dkt. Ndumbaro akiwa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga , Haji Mfikirwa wakiwa wameshika jezi ya tiu ya Yanga yenye nembo ya Visit Kilimanjaro na na Zanzibar

UJE TANZANIA

UJE TANZANIA

Waziri Dkt. Ndumbaro akimkabidhi zawadi mbalimbali Katibu Mkuu wa UWNTO, Mhe. Zurab Pololikashvili mara baada ya kikao nchini Cape Verde

KATIBU MKUU WA UNWTO ASEMA KIPAUMBELE CHAKE NI KUKUZA UTALII AFRIKA

KATIBU MKUU WA UNWTO ASEMA KIPAUMBELE CHAKE NI KUKUZA UTALII AFRIKA

katibu Mkuu wa UNWTO, Mhe. Pololikashvili akizungumza kati mkutano wa utalii nchini Cape Verde ambapo amesema UNWTO kwa sasa imeipa uzito Afrika

UJUMBE WA TANZANIA NCHINI CAPE VERDE

UJUMBE WA TANZANIA NCHINI CAPE VERDE

Waziri Dkt. Ndumbaro (katikati) akiongoza ujumbe wa Tanzania nchini Cape Verde katika mkutano wa utalii wa 64 wa UNWTO nchini Cape Verde

BAADHI YA MAWAZIRI WA UTALII NCHINI CAPE VERDE KATIKA MKUTANO WA UTALII WA UNWTO

BAADHI YA MAWAZIRI WA UTALII NCHINI CAPE VERDE KATIKA MKUTANO WA UTALII WA UNWTO

Baadhi ya Mawaziri wa Utalii wa Bara la Afrika wakifuatilia mkutano wa Kimataifa wa Utalii uliaondaliwa na UNWTO uliofanyika nchini Cape Verde

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA 65 WA UTALII 2022

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA 65 WA UTALII 2022

. Waziri Dkt.Damas Ndumbaro (katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania Paris, Mhe. Shelukindo (kushoto) wakifuatilia mkutano wa Utalii nchini Cape Verde

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top