Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na Askari Uhifadhi wa Shamba la miti West Kilimanjaro Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Mradi wa REGROW unatarajiwa kutoa ajira zaidi ya 40,000 kwa wakulima na wananchi wanaoishi kando kando ya hifadhi…
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka (katikati) akipokea Mkataba wa Makabidhiano ya Magari 10 Kutoka Kwa Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Christine Musisi
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka (kushoto) akikata utepe pamoja na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Christine Musisi ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya magari 10…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza katika hafla ya kusherehekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Taasisi ya Wanyamapori Afrika yaliyofanyika jijini Arusha.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akitembelea eneo la Maonesho ya picha katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Taasisi ya Wanyamapori Afrika, jijini…